HitParad
Трек

Rayvanny – Fundi

О треке:
Длительность: 03:28Формат: MP3Качество: 192 kb/sРазмер: 4.8 MB
Текст песни
(Sound Boy)

Hata wajiweke filter
Uzuri wa sura yako hawatafika ooh
Mama umekamilika ooh
Wasiokupenda ona wanakunja ndita ooh

Na unajua kupika ooh
Nikishakula natamani kukulipa oh
Hakuna kitu ananificha sa' katongozeni nije kuwaaibisha oh

Mungu kakupendelea ndo maana unaringa
Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba
Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda
Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah

Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah
Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah

Hizi cassava kamenyamenya
Akibana inapenya penya
Manzi wa kanairo Kenya Kenya
Kwenye giza nimekatekenya

Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi aah
Fundi eeh, anayajuaaa

Uno la kidigo sura ya kimasai
Shepu la kinyaki afro nywele Dubai
Meno ya kichaga Oldonyo Lengai
Haikatoks, haikatai

Ma, sweety nyonya hio ka pipi
Ukikalia kwa kiti, pressure hio ni bidii

Mungu kakupendelea ndo maana unaringa
Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba
Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda
Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah

Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah
Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah

Hizi cassava kamenyamenya
Akibana inapenya penya
Manzi wa kanairo Kenya Kenya
Kwenye giza nimekatekenya

Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi eeh
Fundi aahh, anayajua mama
Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi eeh
Fundi aah, anayajua mama

KamixLizer

(Wasafi)
Треки исполнителя