Ooh yaah yaah
Vanny boy king
Vanny boy king
Konki konki konki master konki
Konki konki konki master konki
(Konki konki konki konki konki)
Ninaitwa mamba dudu baya oili chafu konki konki konki master
Walishanibania na sichoki(konki)
Na ng'ang'ania na sitoki(konki)
Na hit hatakama c promote(konki)
Kwenye list nakutaja siogopi(konki)
Kutakentekente no managemente mambo
Yenteyente mambo tentemente dudu baya oili chafu(konki)
Huwezi kuichafua(konki)
Maaambaa haahaa (konki)
Konki konki konki
Konki konki konki master konki
Konki konki konki master konki
Mziki unamasharti takataka mtaani wanataka kutoyaacha katakata
Na ndo yanafanya tunatakata kwahiyo ukiyazuia yasije vunja kitasa
Konki
Beat konki yaani konki konki
Ni wasafi soma logo yaani frontifronti
Vijali konki dume konki show konki konki
Uje geto mimi ni punda yaani donkey donkey
Walichimba shimo refu wafukie(wafukie)
Interview ngoma zetu zisilie
Show zao wakagoma tuhudhurie
Lengo lao tuchakae tufulie
Baasi Mungu acha atupiganie
Ngoma zetu haadi kwa mama n'tilie
Bodaboda na bajaji zetu sie
Na show zinajaa acha watushangilie
Wasafi (konki)
Vanny boy (konki)
Tumeshazoea lawama ndioo
Wasafi (konki)
Vanny boy (konki)
Bendera ya chama la wana hilo
Konki konki konki master konki
Konki konki konki master konki
Haahaa
Yaah this is Rayvanny V Vanny boy
With my brother
Konkiiii
This is how we do men